LOUD GST #18SMB

loud GST - Talk less

LOUD GST #18SMB
loud GST - Talk less

22 Plays

02 Jun 2023

Talk less najaribu nipate good times, backslide nikicheki nlipotaka, vitu vingi vimeja kwenye kichwa reminise bad memories sote tuna smile kwenye picture.. Na bounce kw pusha nko nae my brother, nibane dingili sijafata prama.. Boya unapakaza... Nenda na wakati nasubiri. Mida. Nikate mogoks nichome Mashada.. Narusha vi c wasema nimekua teja.. Bonga mbaya huku una dodge mi na solve.. Nigga ukiniona kuwa ontoes. Toka 16 in my hood they call me cassper friendly ghost among the people gwasto i never hide from my ego.. nko mbele yao dakika zimefika mwisho.. Niko kama siko.. conversation na muhuni kama confession, vitu vya kijinga munaeka competition, pisi kali zapenda wahuni.. Chafu wanapenda ngumi.. Huyo ni dem wako yuko kibing anapijwa kuni.. Calm down hommie tafuta pesa tupishane benki mlangoni ..we si Ulimada seco, ulipata E uko na effort, hustle ili jina ulione kwenye payroll.. get down system ni ya vibantam, wadogo sikuizi wana runtown, k town, blessed alafu bora nko hai.. kwni mzinga shingapi mm nijidai.. party every night wengine wanapija kazi.. usiku unaogopesha boogiman yuko gizani..›››trench boy kufanikiwa nimeanza mashinani... nina wana wengi mitaani.. wazazi wanakua naimani... nikitumwa niregeshe change manyumbani.. ››wakati wakiskia jina wanachukia... wengine wanakuaminia wanakusifia.... sacrifice kw ma youths hakuna cha kufanya pesa ya haraka kwenye p push ni pate power, ukilazimisha iko sawa sihitaji sifa sitaki hasara, wakijua ni plug watakata wire sina fare napanda matatu na nyamaza. tukifika mbele mwana vp, hii ni sare.. nikishuka mteja yuwaniona kama zare.. sababu nimepija luku nikipita mbele naangushiwa burungutu, kunibahatisha nikawaapija lugha siezi roekwa kwetu.., akavuta picha nimetokea south mobb na wote ni mafyetu, nigga what.. I've been pushing grinding mambo iwe safi nimeingia tisini kw game ni ushindi...

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like