noon dream
I'm negro tulikutana dar zoo January japo nilipiga mara nyingi haupatikan dakika tano zitanitosha tu mezani nina jambo serious ,sina jambo la utani tukutane M .city nikueleze ya moyoni owk sawa nikitoka kanisani morning Sunday,, mwmba nikaibuka cheki time,,6am nikashtuka japo mda wa church,,shuka nikavuta 10am tena nikashtuka piga chai ya kishua andazi moja,,then miguu nikainua chap chap kwenye basi nikaingia mara paap suka nae akaliinua fumba na kufumbua dakk chee tu,,mlimani city nikaingia konda ni drop hapo mbele ,nikatua ndani nikaingia,meza nikachukua, simu nikatoa hello 👋 upo wapi now,,mbna sikuoni au umenipiga bao nipo njiani, nakaribia kufika tazara jam kubw imenichelewesha dakika 5 tu mtoto akatimba mtoto pis kali mtoto anaita mtoto malaika mtoto kaumbika nyuma kafurika muhuni navutika verse chache,, mtoto akaelewa sikutaka kuchelewa ,,mwisho nikabebewa talk to her mom and dad wakaelew ndoa tukapanga mahari ikatolewa 1st april na ndoa ikapita few months later watoto tukapata john,, Gabriel majina tukawapa Angel na grace wengn tukapata uwezi amini ilikua ni room tu nimelala and everything I've said was just a dream hz ndoto za mchana mchana bhn daaah
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
But the good work very strong consult with nice flow. I love the music my man.