Jimmy Ryzz

jimmy ryzz _ dear ex

Jimmy Ryzz
jimmy ryzz _ dear ex

20 Plays

14 Apr 2023

Kuna ex na mpenda mpaka sahii mi na data sijui nifanye nn mpka awe wangu Tena 2 Kuna ex nampenda mpaka sahii nimedataAliniamini akanipenda kidume nikaridhika,*ukimuona Anavyosmile, anaimba nyimbo za kanisa,jicho lake legevu,umbo, nyash kaa Lupita, sivyo Nikaanza wivu, kumsorora had insta, am lonely na maumivu zilizobaki picha, Alinipa penzi hatari mpk kwa Mama nikampeleka, Nika jua bado ndoa, na Pete nitambisha/Kwel nikajizingua, nuru yangu_ ikawa giza,kumbe nlikoseaa, message ikaleta vita,* mzozo Nikatatua ,( kumbe kwake haikuisha,/ Ange jua vile na mpenda, mpakg daily, na mchatisha) Mwenzake mi naugua**, asilojua yee ndo tiba,Najisikia kumtaja naogopa itakuwa shida, ,walimposa akanitosa, sahii nimekuwa munyonge, nihurumie nilikosa,Kuteseka imetosha, mamangu utamkuta akupe leso msuke tuta,) penzi nlijenga ukuta, mahasidi wasi haribu,nikuwine na zabibu honeymoon ugaibu, , bby njoo karibu,nkukiss usiniadhibu, tupange taratibu,future yetu wasiharibu, Binadamu Wana wivu,hawataki mambo yetu, Binadamu wenye wivu, Tujenge, imetosha, njoo tujenge future Nimeteseka ya kutosha,

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like