🎤djcoolbgmen🎧
🎤djcoolbgmen🎧

Djcoolbgmen -siwezi

Djcoolbgmen -siwezi

26 Plays

27 Mar 2023

#IROEMPIRE Yamenifika shingoni kuendelea mi siwezi nahisi sinabahati ndo sababu ya mambo hizi Kila ninapogusa ni pamoto naungua Au mapenzi siyawezi ninafosi kuingia Huu mwili siyo wangu mapenzi yananikondesha niliye dumu nae tukikaa siku kama tisa naona kama uchawi ila siamini ushirikina kwajinsi nilivyo Isha naogopa hata kupima Hakuna inayonitosha nguo zote nimegawa 35 ilikua size now 20 ndio sawa Hii Hali inaniumiza mpaka nakosa raha Nikijaribu kujiua nafsi yangu inakata Moyo nao haukomi umejawa na tamaa Kila unaemuona unaona Nina kaa Nakila ninapo ingia si enjoy ni balaa Minahisi yanawenyewe Bora nirudi tu kwa Jah "SIWEZI LABDA UNGE RUDI TENA NDOBASI TENA SIWEZI KUKURUDISHA TENA NITAMUAMINI NANI KWENYE HUU ULIMWENGU WAMASHETANI HATA NIFANYE NINI SIWEZI KUKURUDISHA TENA NASEMA TENA SIWEZI SIWEZI..."

1 Comments

Leave a comment

You may also like