Akapoera youngster
Akapoera youngster

Akapoera youngster_-_ session 01

Akapoera youngster_-_ session 01

7 Plays

25 Mar 2023

Nakuja kimya na ujio wa kishindo nikiwa full colour km rainbow Naleta maneno na muinjoy vitendo nikiwa full yan kila angle hii ni kwa wanang wa kushare, nashkr sana kwa support mnonigea, i believe one day on the air, kama bendera juu kwa juu napepea usishangae kuona sijawah kukompewa, watankompare na nani, kisa ndo nachana km ye munifananishe na yeye, huu mbn n utani, Namuheshim bro heshima ni kitu cha bure ndo mana Mangi haiuzi dukani, aloni inspire n yeye asa kwann n yeye mumshindanishe nam. mnajua nn wabongo emb mwache uongo na mastaa wenu wa mchongo Kwaio ustaa wa mandonga n kusukumiwa pondo. street nasomeka km somo naposhika mike wananyanyua mikono napotema vibe lilojaa kweny mdomo ka tuko fiesta 2022 nami naweka maneno

1 Comments

Leave a comment

You may also like