high school legacy
Tizzy Brayohigh school one tulikua kimoja pale ngato tukikula kiombitho shes tukiwa maritho mimi na max tuki vuta kiombitho pale tukishikwa na rinsi ni sasa hom tuki fika kukaribishwa na viboko man hatukua tuki care ma ngeus shida Bala tuki kula thenga masimba aki serv ugali na thenga tukiwa waire max hunipa kishada Martin aki jifanya mkuu na bado head boy pale tukikwim hatuwezi pimp ass listen to the beat nani mi brayo max aki nipa support ya doo niki run savage max hunituliza ma hand some boy waki dreal kwenye Streets ma ngeus kuwafia na kuchat. my name brayo,lewi,max,Clinto,bazuu,na moise wakiwa ndio ni ma best friend triple MMM ni respect tukiwa the ones hatupendi ku ropokwa pia sijasahau mangeus tulibreak up big up .matharau kidogo kidogo ziuvuta watu chini
Leave a comment
You may also like