time to party
time to party nikiwa ghetto na wanangu tumekaa tunawaza life tunakuag tunawaza how tunasurvive shida zote tunakataa, tunapiga knife huzuni hamna tunagonga tu mahala five nikiwa na kevi tu mda wote ye analeta tu makuzi shalee ye mda wote anawaza tu mamovie ahmed anakuja mada zake za mapenz anasema mapenz me bila pesa siwez ofsa gere anakataa anasema dogo we mshamba tatizo hujui kuwapanga, mbn me nawakanyaga tatizo fupi yako kamba unatak uvae mapamba makali ndo upate shamba hizo unaleta mbambamba hold on tatzo osfa huelewi hii michongo afu kuna mnapenda kuongea fyongo natak niking'oa chuma ning'oe chombo so kwa sasa niacheni sitaki zogo CHORUS: Time to party yea yea time to party yea yea time to party yea yea ×2 time to party yea yea ukinikuta everytime earphone maskioni mistar naandika mamb mengine siioni sometimes nikilala inanijia ndotoni hapo ndo napagawa usingiz hauji machoni na haina cku monday au friday haitoi taarifa yani inakuja any day kuna muda nakuaga namwimbia my bae kuna mda nakuaga nawaimbia wanangu eh dogo ozil akija ghetto anapenda kuckiza songs na movocal mamelody makali ya turn on anabaki tu kicheka magwara u know, u know itakuaje ukisettle kwa hii industry my bro kama nakuona kesho umefika mbali bro nakuombea tu kwa mungu kaka ukue top top usiache we ndo noma kaka keep it going going nishakusoma ukiacha nakutupia liboom i tell my bro kuacha hii kitu siwezi ntafanya nkiamini mungu atablessy sababu kwenye hii kitu my man i'm crazy amna muda wa kuwaza let's keep it blazin
You may also like

Leave a comment