style

0:00
0:00
style

my baby girls wanasema i deserve on top and i say ni mapema bado im start navyofany wanapend i kill this rap iwe slow nawateka ata iwe chap aaaah ooh na wanangu hawajantenga we rock kitaani kwangu wanasambaza tu mapicha picha darasa la kwanz they know me mpaka form6 nahiv kila ngoma mavi nakinukishaa nna vikosi kama mia me captain wa jeshi wanao chukia chukia nawavamia wote natia X wengine wanaumia wanatamani tu my destin wengine wananichukia na wanaapia me ni blessed niko strong kama stone kokoto Tyson ngumi jiwe shuti jiwe moto ronaldo sifa asifiwe our G our God thank you you all kwa kuckiz my songs sa ckia nivoanz kuandamia wakadhani ni utani wakadhani nmezania afu sasa ni mzani nmepima mia kwa mia ndo wanaiona thamani kimsingi nawakanyagia

3 Comments

Leave a comment

Author
3 years ago

1 year ago

GANG GANG 🤘

1 year ago

Bomb 💣

User avatar
926
Total plays
78
Followers
27
Following

You may also like