Akapoera youngster_-_ wanangu co wanao

0:00
0:00
Akapoera youngster_-_ wanangu co wanao

uwez fanana na wanangu ckufichi, mana mi wanangu hawana pigo za kisnitch, wanangu huwez kuwakuta kwany vjiwe vya unafki, daily wanawaza life kesho wanaishi vp wanangu m n wapambanaji co wakabaji, wanasaka kwa jasho lao kupata wanachohitaj, tegemez kwny family zao bila wao hakuna ulaj, umuhm wao yan km uhai na maji,

1 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

See track description

User avatar
1.5k
Total plays
176
Followers
108
Following

You may also like