Memories (16:24)

0:00
0:00
Memories (16:24)

Nakuchanganya ka una sleki nakudanganya fanya kazi fanya hustle hard man we zako zime nyanya, zangu zime nice cheki nimedunga fiti just drippin ice Safi sana never met any lice but I got so many like, milli like from top to down kila kitu nike, hey! nimepanda bei you can't even pay the price, we wivu mi sina, hela kwenye benki nina ukitaka game, nakuchapa saba bila ka inauma sana lia mafans wangu nawapenda sana, binti we wanifuata sana na haga huna sura huna, kila kitu huna miye pesa sina

2 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

User avatar
6.49k
Total plays
361
Followers
83
Following

You may also like