slide

0:00
0:00
slide

mi nataka uslide nikuonyeshe whats Mine juu umenishika kwa mind mpaka siski siko fine mapaka nikueleze ukue shore wa mavine when ninvardy umenitight mpaka sideny sura yako yajieleza hata usipo jitembeza kizuri chajiuza na kibaya cha jitembeza girl please hebu ekelea hiyo siri Kwa meza venye umenipendeza si nimekuja kujieleza kama mimi si typo yako usijipe kapreasure kama iko sawa usiogope kukeza kipenda cho cha roho kinataka furthermore kinataka kishikwe ndo nitulize roho si ukweli usemeke ndo nitulie kwa roho sawa ikifike inatolea kwa koo msupaa umenibamba kama ungekua Mola ningekutolea sadaka lazma nikaze kamba ndo niweze kukuhala ndo mana najikaza iko siku moja nitapata na mi ni gangster na lazma si unajua nikikupenda huezi niacha nikilia ndo maana nikapata kale kasponser nakafinya nakachinja competition kwangu hizo ndo ng'ombe mi huchinja mi sipend bf lakini butcjery mi hufika nataka love potion na ikuje na kwa motion tujiundie kanation tufanye fertilization nakaseed germination peng fisa bila filter unapaji venye hupiga luku nitakuja na wanjapi kama unamedi nikuje na shada ngapi beb hebu please uko na maboyz wangapi nataka unieleze ndo niweze kupunguza hatari

10 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

See track description โ†‘

keep it up buddy ๐Ÿ‘Drip ๐Ÿ’ง ะกold af ๐Ÿฅถ Bars: Perfect ๐Ÿ’ฏ Delivery: Perfect ๐Ÿ’ฏ Impression: Perfect ๐Ÿ’ฏ

Bars: Great ๐ŸŽ‰ Delivery: Dope ๐Ÿ”ฅ Impression: Dope ๐Ÿ”ฅ

Respect ๐Ÿคœ๐Ÿค› Bars: Perfect ๐Ÿ’ฏ Delivery: Perfect ๐Ÿ’ฏ Impression: Perfect ๐Ÿ’ฏ

2 years ago

Champion ๐Ÿ† Legend! ๐Ÿ‘‘ HEAT ๐Ÿฅต ILL ๐Ÿค’ Bars: Perfect ๐Ÿ’ฏ Delivery: Perfect ๐Ÿ’ฏ Impression: Perfect ๐Ÿ’ฏ

Bars: Perfect ๐Ÿ’ฏ Delivery: Perfect ๐Ÿ’ฏ Impression: Perfect ๐Ÿ’ฏ

2 years ago

Bars: Perfect ๐Ÿ’ฏ Delivery: Perfect ๐Ÿ’ฏ Impression: Perfect ๐Ÿ’ฏ

2 years ago

Slatt ๐Ÿ’ฏ Fiya ๐Ÿš€ Let's GOOO ๐Ÿฟ No ๐Ÿงข Bars: Perfect ๐Ÿ’ฏ Delivery: Perfect ๐Ÿ’ฏ Impression: Perfect ๐Ÿ’ฏ

2 years ago

G.O.A.T. ๐Ÿ Bars: Great ๐ŸŽ‰ Delivery: Dope ๐Ÿ”ฅ Impression: Dope ๐Ÿ”ฅ

Respect ๐Ÿคœ๐Ÿค› Bars: Perfect ๐Ÿ’ฏ Delivery: Perfect ๐Ÿ’ฏ Impression: Perfect ๐Ÿ’ฏ

User avatar
7.11k
Total plays
581
Followers
283
Following

You may also like