kam kuja
0:00
0:00
wanadiss bila peace ila sis atuna mpango nao, tunahis wanabeef ila shauri yao, tutafix na kumix itakula kwao, umbea mbea wao shombo shombo zao tuko nao tuko ready tuko fiti si wazee mbady kwa mapusha na peddy be strong hardy na mafegi na magwai tunacheza dagiie kila show tuko floow nakublow kwani rady chef fanya faster mbona unachelewa, walio mwani hawana pesa kote potezea, kwa washkaji na warembo kuja karibia, hebu waiter futa meza letelete bear
You may also like

Leave a comment
See track description ↑