BARAKA WMG

0:00
0:00
BARAKA WMG

Naskia utaka vyeo na aujapita depo. Namchukua mkeo we uendelee kupiga nyeto. Mtoto mdogo huwezi huu mchezo. Jaribu dakika ya kwanza upewe maelekezo. Dakika kumi tu muhuni ulishachoka. Demu akimwambia sogea karibu unaogopa. Ukiwa na sisi unaengea sana sana. Kwamba unapeleka moto tanzania mpaka ghana. Kwanza hututishi, Unaongea matusi. Kila kitu unakijua, Majibu mafupi. Sisi tutakulipua watalibani on the street.

1 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

See track description ↑

User avatar
346
Total plays
101
Followers
118
Following

You may also like