back bure

0:00
0:00
back bure

Doggie haiwezi bark bure,,,,. jango haezi kaa kule studee haezi love shule alienda aka rudi bure na ni juu ya kiburii but ....utajua si ku zuriii juu wasee wame kafungaa kaa kufuli! na design wana kulia ni kaa kwa bakuli waki drip..... manze joh mnahitaji mwamvuli....... na hapo nyuma mnanicheki kaa kivuli! wananiita bigman na ata sina misuli manze.....ebu fungua macho uone vizurii tunaifanya ni kaa tamaduniii na uchunge sana juu pia unaeza kula mangumi!!! after all unajua unadeal na wahuni na tumejaa nikaa kampuni jifanye mchafu nilete sabuni......tuku rudishe bafu,,,,,,,tujifanye vipofu ndo tusione ukitoa pofu jango tulipea hofu.......adi akendaa offu hii kesi ikageuka unlawful

1 Comments

Leave a comment

User avatar
3.23k
Total plays
168
Followers
59
Following

You may also like