live my dream

0:00
0:00
live my dream

nadai ku live my dream! tho nimeshindia ma steam!......juu nadai kuongeza ma scheme! hivi ndo ina seem!.....nikona ma stream! joh naeza fanya u scream!!!! sihitaji ku proof nikona theme!......na ilianza kama dream!!!!!!!sai na kill thanks to my skill! na ina endelea ku stand still! na nikona my team,,,,tumechill.....nikaa tuko njing!!!!hatulali tunachase ma ndoto kaa ni zogo nipate kwa ring!!! i swear mi naeza kuvaa kama ma bling! street ni genje lazima ujue ku spring! i swear you ain't ready for wat im about to bring juu!!! walini show me ndo kadere so ni mimi nawaspin!........na kaa una hate ebu kua keen kenye nimeanza me siachi.....ata ukiwa mean! offcourse you know wat i mean! naeza fanya ukose kuaminii.........juu kenye najua ni me najiamini!!!!! ata kushinda kina idi amin!!! nadai kuua-just give me a minute! kuna verse nadai ku re visit^* napenda hii spirit juu nikama sina limit niko above,juu niko high nipate kwa sky!

1 Comments

Leave a comment

User avatar
3.25k
Total plays
169
Followers
59
Following

You may also like