sikati tamaa

0:00
0:00
sikati tamaa

yeah A boy from Mbagala wanasema mm chizi sitaki tamaa nataka nimiliki Benz kama sio range naamia mbezi Najua watu wa Mbagala wanaona mm siwezi mm sikati tamaa na ) x4 wewe pia usikate tamaa)x4 usijali Mungu yupo anafungua mambo yangu na yako na huku napambana na hali yangu mwangalie samattA mambo mengi kayapata mm sikati tamaa na ) wewe pia usikate tamaa) x4 namsalimia mzee Ally Sr Donny Zanzibar yote aka boy na bale S M B saje music baby

2 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

1
4 years ago

💥💣💯

User avatar
822
Total plays
49
Followers
31
Following

You may also like