baby
fungua milango wanyaturu tunapita leta nachambo samaki wanavulika mtoto mzuri napenda unavyo floo wala huringi yani kama komando achana na wasomi makasuku wanajikuta halafu hawana kitu wanaojikuta watakutwa ipo siku wanajifanua wamejaa hamna mitu eti mtu chuma kumbe ni scrrepa watu wamedunda usichukue itakutesa 2 yeee yeee yeeeee baby nimejitosa eee yeeee yeee yeeee usije ukaondoka eee sio chuma sio ukutasio mwamba ugumu wangu unatosha kujigamba tuko hapa tunakula bata yani mpaka kuku wanaoiga chafya jua inanyesha mvua inawaka walioko hapa wana tapatapa toa hizo vyeti gari lako feki acha unafiki mlikuwa wawili yeee yeee yeee baby nimejitosa ee yeee yeee yeeee usije ukaondoka ee yani face to face kama tonge na nyama wewe uniwezi hatakama ukijigamba mpaka kwenye kochi tumeacha vitanda tunavuta fegi tena kwenye vibanda life is good acha utani tumwombe god tufike mbali lets gooo yeeee yeee yeeeee baby nimejitosa eeeee yeeee yeeee yeee usije ukaondoka eeee
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
I hear you fam keep grinding #savagefactz
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥☝🏾☝🏾☝🏾☝🏾☝🏾☝🏾☝🏾🔥🔥🔥🔥☝🏾☝🏾☝🏾☝🏾💯🤦🏾♂️🤦🏾♂️
Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯
Bars: On point 🎯 Delivery: On point 🎯 Impression: Nice 🌟