official pilato ft mat wizzy
0:00
0:00
Mpenzi wangu sarah alikuwa hatari, Alikuwa anapenda kunijali, Japo kuwa nilitoka mbali, Acha 2 niishie katikati, Siwezi sema tenah mimi hanifai, Ila 2 ndo izo alakati, Alizidisha sanah ugomvi chumbani, Eti kila wiki yeye ni nyumbani, Mala apite na kwa uncle shabani, Alizidi kunishusha sanha thamani, Na kunidharaulisha mimi mtaani, Pamoja na hayo mimi sikujali, nikazidi kumuonesha thamani, Alimaliza watu wote mtaani, Nikasema kweli mapenzi shetani,
You may also like

Leave a comment
See track description ↑