dhat

0:00
0:00
dhat

kwa mapenzi ya dhatiii we ndo unanikoosha .. penzi ni kiporo likilala unalipasha ndomana najichanga nije kutoa posaah. stakikukukosakosa penzi lijae upako kwa mafuta yawampoosa posaah.. nimepita sehem sehem nikibeng beng nama dem dem ..and so on lakini kwako nipochin ya ulinzi ka chinbees unipiga za fizii najiona nipo kileleni mpaka na freezi..easy.. nikutoe presha kwq vigezo umekidhi na so moyo ni mpaka mapafu nmekukabidhii ...

1 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

User avatar
1.2k
Total plays
54
Followers
52
Following

You may also like