ddds

0:00
0:00
ddds

nikiwa off nipo geto nimetulia .. mitungi flan na weed tunapulizia.. oyah sabry vany wapi umewekq rizillah.. alfu mesahau mshtue na alli zilah.. ..mwambie aje na fire🔥stinguxher..mana tumelipuka.. hakuna kulala tumechoma mashuka.. na flow geto siaminii ufamous naupenda umaarufu nachukia mbwembwe zake.. ni kam dem sexybody.. alafu ovyo tabia zake. nishampunguza mwana kisa changu chetu chakechake.. tumetoka mbali ila nafsi ika sema mwache tu aende zake.. ...Na ..hii ndi sounds tu unqionaje mwakemwake..🤭💪

1 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

User avatar
1.2k
Total plays
54
Followers
52
Following

You may also like