Saimon Pambano

really life

Saimon Pambano
really  life

129 Plays

22 May 2022

Ithink u know me when im takes the mic, really maniga 26 uwa atu mind upuuzi ukizingua pah pah unapita iv ni beat gani unaeza drop mic yeah tangu nimekuwa mc kazi yang ni kupiga traps madogo home macho wote wamenangalia mtu mzima mfukoni sina ata mia kigezo majukum yote yamenielemea nawaza njia gani mie naeza pitia kuwa mwizi me siwezi nitateketea dili za ni usiku chimbo na paka rasta sivuti mjani muulize majani hisia kali za maisha niliyopitia za ninyima usingizi nikifikiria kinoma noma nawarusha wanashangilia kwetu musoma vita nje ukituzingua natuki pata dili pah! ndo tunatusua dream zetu big thug life dili 99 degrees kona za kibabe chenga tamu wapinzani wanashangilia nime wazidi mashairi wananiofia napopita pande zote wananikimbia

7 Comments

Leave a comment

Like the old school west coast style Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

2 years ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

I like the vibe of this 🔥🔥🔥 Bars: Dope 🔥 Delivery: Perfect 💯 Impression: Dope 🔥

You may also like