Haunibambi official audio- zeladofu
0:00
0:00
haunibambi mazee, haunibambi kwa kweli haunibambi vitu zakua afanye dada yako mbona zinajitokeza kwako mazee nn mbaya ,, i say haunibambi, hata aibu huioni atakama n wakati wa jioni still bado twakuona,, ukifanya mambo za kidem ata kama umetoka game mazee haunibambi,, i say haunibambi
You may also like

Leave a comment
See track description ↑