fame

0:00
0:00
fame

Kwanza na warusha kweny mitandao nawavuta kitandan nawapiga bao sera za kinyabi lazm utaxhoboka wambie shoga zako dudu limeamka boyaboya ka mbali mana una boer ukijimix nas lazma upigwe chin mala hil mala lile like a jingle bell bora uwe mtulivu ila sio mvivu ukixhindana nasi huwez hata kwa mabavu speed yetu mwendo kas sio vi tax bubu huxh tuki2 tuna kiwasha pande zote wote wanajua ukijifanya unatujua tunajuzingua tabia na maixha yetu mbona simple 2 walio wahi mwanzo sass ndio wako mwixho na froo hii naipiga mwanzo mpaka mwixho

2 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description ↑

User avatar
872
Total plays
86
Followers
112
Following

You may also like