Mahalcrood$
Mahalcrood$

Ain't Ugly

Ain't Ugly

44 Plays

16 Apr 2022

God doesn't lik m being ugly nko home paying bills while being happy naroam kujinice free bro kugamble zii nalenga ndom n kuvaii itanichoma sii we unaperform unaprovide indisputably kwako namuok unaniguige and you render me more than b4 ninashine and am stress free kwako n glow nakupa tithe for you forgave me Ukanishow your true side not neglecting me unanifanya nasmile your protecting me. in your footsteps is where i wanna grind kuna tools nmeset meaning am ready to mine ndo niweze grove best n kamrainy nikiwipe intruding viruthless ju kwa rapping nina syke avoiding kua reckless siachi gap bla vibe am really persistent n Mercedes nitadrive napenda kureplay nko ready ndo nistrive. kwa zone nikutee sipotezi yangu site nataka kupile dau design ya file nakata kucheza faul ntadie walai nataka kupenya angalau nijidaii nasaka nkihema God n ww unaprovide ww chanda chema huezi niacha nidie Umenipangia mema kwako narelie pia ukanipa mema God kwako nisislide Hautawaii nitenda nakuamini wth my life. Nataka kusema yale kwangu Umetenda Umenipenda n hujawai nitenda. Hujanilenga though n mengi nimetenda . kwako sitasepa cz hakuna pakuenda. mazuri napewa ka n nyama pia nasepa. kiburi natema nachopata sitateta. ushindi nameza naipapasa kama pweza. riziki unanipa Umeniandalia meza. Uwizi n shisha zitanitupa ahella. N nini ntakupa ju umenipa mpaka fhedha. n hujanitupamchana kutwa Umenipenda. so sitastuka ju umenipa mpaka keja. n ninanguruma kwa mistari m napenya. hakuna kuchafuka nko sure sitagenya. naficha makucha watiaji watanimeza. wananiita budha vitu zangu wanapenda. wazoro tunachuja hatuwakai kwa hema . mayolo tunavuna utamu ya kazi n pesa. n mbioninaluja nina hamu ya kuwatema. maskio nishafunga nilijua watasema. sitajipendekeza Ukiniongoza naenda. kamba sitaleza ju m naona kupenya. kwako tu m nadeka n sitakoma kusema. kwa daro sikupita ju ni memgi yalinisonga. kwa pango nitapita sitaogopa kusonga. mipango yako ya huakika n mazuri Umechora.

8 Comments

Leave a comment

Storng 💯

2 years ago

dope shittt view #goat5

keep it lit

You may also like