Masso rk

masso rk _ dundo la kisela

Masso rk
masso rk _ dundo la kisela

85 Plays

14 Apr 2022

do you see my shoes meh don't touch me hahahaha!! masso let's go meh ************************ dundo la kisela natinga kisela kamba ni ndefu nafunga kisela navo tembea nadunda kisela nikisela sela wanajua masela napita uswazi kuwacheki masela watoto wanadata kinoma na chini akicheki ilo dundo vile na pozi za kisela sela na dundo la kwangu livo la kisela ****** dundo la mtumba wala sio dukani nikitinga nalo nawaka sio utzani nikipaka kiwi frexh burudani wahuni kibao wanalitamani adim kinoma kupata sokoni wanagonga photo yani sio utani hili dundo la kwangu wala hatuazimani t_shirt na jeens shingoni ma cheni ni bonge la chatta nkikanyaga chini ukidata nalo lifuate bondeni *** dundo la kisela kwanza ni balaa hiyo bei yake unau moto car masela kibao wananishangaa nikipita nalo navo dunda nalo na mbele ya wana me ndo dingi lao saruti kibao ukija zingua unakula vibao nawakanyagia na dundo dundo la mtumba wala sio dukani nikitinga nalo nawaka sio utani nikipaka kiwi fresh burudani wahuni kibao wana litamani adimu kinoma kupata sokoni wanagonga photo yani sio utani hili dundo la kwangu wala hatuaziman t_shirt na jeens shingoni macheni ni bonge la chatta ukikanyaga chini ukidata nalo lifuate bondeni dundo la kisela,,,.............

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like