Chim:- kipindi local
msingi nisha weka tangu kipindi yupo local, sa siwazi nisha fanya mtoto awe moko, me chim flani nisha fanya ziwe motoo so go ahead ukisha niona sina dogo. najua mnasubiri kupanga mazali nishuke nibaki so hali, haa, chochote nasaka sijali chakwangu ilimradi nibaki na amani, haa, kuku wa kwangu sishiki manati ndomana achomoki bandani pindi mi nashuka, nlisha soma zenu hamfai, snich keep down floo zangu huwezi time, mimi chim prada new lebo haina ngwai, wewe fuck snicha chim am nigga ga ma time, i like ma queen who fuck need suck ma gun zenu mtaa nisha soma story nyingi blaa blaa, mkisha niona wengi wenu mnataka jaa jaaa, usiku me silali nina saka hizo faa faa, snitch jihazari ukisha niona juwa nah nah, kwa mimi sitaki mafala, napiga sakanya ma dala, mbwai haibambi kimwana, temana abuje mwenyewe ni fala, alidata kuniona nakaza, sababu kwa mchezo ni father, siku moja akata mazima me mwenyewe sonko mchezo huwezi local mbuzi kwa morombo snicth uache unoko watoto wote bobo naye wangu moko alie nifanya moto soo tuko 4 4
You may also like

Leave a comment