selfmade

0:00
0:00
selfmade

Mtoto wa mama acha kwanza kula kwenu ndo uniongelee.. maji level ni ya utosi unafosi .. Mola akinibariki tu pumzi kwangu ni shereee. . ..kamaa mchongo haukuhusu usisogelee ..natoka unyoya.nakimbiza kuhusu flow naumiza tatizo ndo na ta tizaah . kati yao mi nakatiizaah.. naficha coz mi ni gizaa ..im real ila we unaigizaa .im.still wait my vissa.. . father alinambia huu ndo muda wa ku make .. Ndomana nakaza bado time ya kukata cake.. vitu vingi sometimes sieleweki.. unaweza sema tinga ma dubble kicki.. .....sipimiki si shikikiii ukinikuta. mishemishe.. unijui vzur ulizia wananguuu wakueleweshe.. we unakula kwa mama mi kwa mama lishe.. usivute bangi za kimemto zkupagawishe . ..

1 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

User avatar
1.2k
Total plays
54
Followers
52
Following

You may also like