Chim:- no

15 Plays

27 Jan 2022

bongo amini kila rapa zao zisha wekwa kando, mashaka zako zina shine pale bila kuwa na haso wengi wata shout wata pray vipi anko, mbona yupo top yupo kavu hana ata bando kila king ni rapa, ukiwa fisi ni haba, vichenchi bila kava wote wata jaza kapa round hii ni apa, shark nisha kava wote mi nawapa rhymes bila kuwa na shaka mawazo ya game ya nani, mbona wote wakali, sioni waki vagi zani zote zipo ndani, snich sio mpinzani, mfack akisha fack, ukuta muhimu weka atari akisha move we jiadhari mimi chim father sina shobo za mother, wewe baki nisha move shungi mi nashada, mbwembwe nyingi staki maana nisha soma mpaka, mafack move bich no nisha kula paka, vishobo vya ndani naziba na chini, vitego vya nini nakula makini, wambie wa try niwache mavin, ndomana sitaki nakaza makini, najua hamniwezi tayari mmekiri, na somo ni imla nanipo makini mshukuru amekaza amefunga na cheni kama ni alf basi ni trein yoh najua mnawaza, chim nikija ni father so wochi ni kwamba, hivi nilivo ni pasta wengi wanataka ni kava, amini kwamba ni kwamba, jihadhari na hili li janga, maana mimi ni papa kama uamini fata washa data nilipe kava wote taari nlisha wacha beach move Nisha kata kata, so staki wana, zote Nisha kava, nawacha kama kawa, laya wote hawa...!!

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like