B seven_niko tofauti

0:00
0:00
B seven_niko tofauti

niko tofaut najiona niko tifautii sanaa.. najiona niko tofaut me..*2 ah ah sikua campamn yakujenga kimawazoo.. always niliona mbele yang n vikwazoo.. mambo yalishange kila bada ya nusu saa.. nilkua gizani sikua namwanga wakitaa.. mama akasema inabid me nchangee.. kama niko real nitapata hizo ganjii.. skull nilienda nipunguze ujingaa.. mengi najifunza na siwez kujitenga.. muda utaongea kwan nan atabishaa.. mlango uko wazi hu n muda wakutishaa.. nilibeba beg sasa poch kweny mfuko.. utanikuta na nyekundu wana sio simpo.. nimeisha kama fala il npate nachotaka.. nimekua sana down sina mpango wakutoka.. mziki unakuja bila hata kuiwiita. h n vita mura hatuez s kusitaa.. kama ngoma ziko juu.. hata mkija na jujuuu.. wahuni tunapindua mlipopindaa.. tunakaba penet kama mizengo pindaa.. tunavunja kamat walizozijengaa. tunaboa nyufa ukuta tunajengaaa.. na huu mwaka niwabrazas.. mkija vibaya mtafuta kama paparaziii... nmemaliza siogeziii..

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

User avatar
183
Total plays
37
Followers
18
Following

You may also like