Wise Guy
Wise Guy

Sio leo tu

Sio leo tu

31 Plays

13 Jan 2022

Sio leo tuuuu.. Yaan tangu jana... Tunaweza Fanya Zile vitu Za Maaana.. Acha Wale Wanao bhana. Wanaogopa Tutafanana.. Kwau Uchache Wazao vina.. Vina Zisizo na maana... WANAFIKILI Hatuwez Kufanya Wanacho fanya.. Bas Leo Umewaka mwezi Kuna mwanga Kama mchana.. WAKUBWa Kwa watoto. Wasikie Izi vina... Zenye thamani tele Kama Fuko la Azina... AziIshii juu tu Leo Zina zama Kina.. Yaan Kidume ka Kidume Tena Kidume wa Maana Angaika Watu Wale WasikwiteMtotoWa mamA Boy Keephustlelin This life Is too short Dont afake life Al'wys'll coast.. Ishi wewe kama wewe Usipo jiishi Wataishi wengiNewe. TunzaVitu Zako Daima Zisichezewe... Oppotuny Never com twai Kijana Nakwambia.. Unaweza Kujiuliza Kwann Ulizawa Unalia. Uwez Jibu Ingawa. Tayal Umesha Kua. Mengi Umesha YaJua Tena Mengi Ya Dunia.. Yaaa Tena Mengi ya Duniaaaa... Yaaah 328 Is boy Wiiiiise... Yeeeah Is Boy wise...

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like