My Hood, Freestyle
0:00
0:00
kule niliporltoka ndiyo mtaani Kibaha is My hood akya nani Na huko ndipo napopoa maskani usilinganishe kibaha na sehemu zingine huku watoto wapo busy na uchumi na sio machine ukija kiboya utaondoka kivingine Respect God na sio kingine Cha kwanza heshima yafuate mengine
You may also like

Leave a comment
See track description ↑