downtown

0:00
0:00
downtown

form sio form bila da downtown mi napenda hio riba kuserereka na diva pale downtown tukibanju kubanjuka downtown hizo move ni kali walai hio crew ni kali walai hio mbogi kali wali ka ni tei tunakunywanga ki tunker ka ni moshi tunapenda kufata ka ni dance walai utakipata kamove kabambe ting teng teng terere tete teng juu leo tuko form tingiza kichwa na akili upate riba kamili yaani downtown tumekuja maliza kutoka na dirisha kuwachorea insha wathii wajinice na ripoti imefika kwa masansi downtown cheki imetekeleza show ki wow wow hapa kunakufa msee banja tena utabakishwa kisee

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description ↑

User avatar
1.17k
Total plays
104
Followers
75
Following

You may also like