@King chidy.
@King chidy.

Kazi iendelee..

Kazi iendelee..

39 Plays

07 Nov 2021

alianza #kambarage# kafuta #mwinyi# ili kovu la hip hop na reggae fikra makini. usije nawenge Kama dada wa Uganda mpaka Leo hawajiamini tukishika stage hatuna vijembe Kira kitu luksa kutoka kwa# mwinyi# mzembe utakula kwa urefu wa kamba kibabe amriiii kutoka kwa #Benjamin# Ali mpya kasi mpya uwezi Kula bira kuliwa. jakaya mzee was fear nafasi watu walipewa yakaundwa majipu makali yakawa na kiburi awamu ya pili yanambinu kumbe #magufuri# hapa kazi tu wakamuita mtukufu. mambo yakawa sio kukakalimu pande mbili akaja mama mpole msikivu yaliyopo mazito ataweza kusovu. tutapata suluhu mda bado ni mkavu. nifunbe macho miwe kipofu nitege sikio niwe msivu. oya wanangu eeee tuchape kazi kuliinua taifa. Safari bado hatujafika tunaitaji kujumuika . kazi iendelee we Kama ni mlazalendo unajikubali Sema kazi iendelee

3 Comments

Leave a comment

1 year ago

Grind boss 🫡respect to u Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

1 year ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

3 years ago

alianza #kambarage# kafuta #mwinyi# ili kovu la hip hop na reggae fikra makini. usije nawenge Kama dada wa Uganda mpaka Leo hawajiamini tukishika stage hatuna vijembe Kira kitu luksa kutoka kwa# mwinyi# mzembe utakula kwa urefu wa kamba kibabe amriiii kutoka kwa #Benjamin# Ali mpya kasi mpya uwezi Kula bira kuliwa. jakaya mzee was fear nafasi watu walipewa yakaundwa majipu makali yakawa na kiburi awamu ya pili yanambinu kumbe #magufuri# hapa kazi tu wakamuita mtukufu. mambo yakawa sio kukakalimu pande mbili akaja mama mpole msikivu yaliyopo mazito ataweza kusovu. tutapata suluhu mda bado ni mkavu. nifunbe macho miwe kipofu nitege sikio niwe msivu. oya wanangu eeee tuchape kazi kuliinua taifa. Safari bado hatujafika tunaitaji kujumuika . kazi iendelee we Kama ni mlazalendo unajikubali Sema kazi iendelee

You may also like