WAR BABY (16:07)

0:00
0:00
WAR BABY (16:07)

💥unatry kunichomea cv kwani uliniona kwa TV,ukijaribu kunitrey itakubidi ununue DStv,na tena ka ulipi fee bado aujafika bei,ukitaka kunijua itakubidii ufungue CNN,mpira UEFA unawapea doo ndio upate bet,kwa home bibi na watoi wanalala njaa ata auna aibu,bomboclach, we ukobizi na manyanga za kayole kurudi home umejaza mbosho na ndom za kayole nyuma umejaza jasho za 1963 kwani umetoka kupiga vita na nchi inafight Corona atleast isije kutuletea dhiki bomboclach we nununua CCTV ndio ujue maana ya cv bomboclach💥

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

User avatar
180
Total plays
26
Followers
14
Following

You may also like