HUNCHO_♨️💀🥶

0:00
0:00
HUNCHO_♨️💀🥶

waambie ni HUNCHO anakam soon atakuja hapa Fm awashow😅kwanza skia hio game..yeaah huyu boys ni flame anapenda ma dame ana pass hio chain anaogopa ngem hakupita chem na ndo manaa sai ana rap for the gang alibaki amerushiwa ma blame lakini boys alishika mziki na boys aka flow na io lane mziki ni passion mziki na ndo maana naogeza ka fashion wee ukiipenda ntakuita fan ukidai kikitu naku burn kaa ni hater uta learn juu niku genje niki dai ma weng nta earn uki raise ma issue chunga uskikule ma visu nakutoka live! hii mtaa ni mii hui run kwa streets na cheza na pistol alafu magizani unanipata disco na bleki na onjivo unashangaa how is this possible buh ni venye mii hufanya vitu impossible possible msupa wako aliniwahi buh mii nilibonda kudishi bila kondiko sema kumchapa nikama ni volleyball mpaka ananiita Hannibal juu nilimdishi nikama nimekua animal iza meehn.... haikua my fault ni venye form ikijipa nai sort hapa tuna hesabu rounds ma sii ma shot mziki ime bound usitry kuni letea izo ma thoughts juu sidai ku invole na cop's watapata nishaa ku drop wewe ni corpse unawekwa kwa casket.....juu umeshaa kick the bucket usiinite rachet....juu drip💦 bado ni raged usi trip broo otherwise utakua the next target... unajua mi ni m cunning ata kushinda Fox mii hushinda burning! ukidai unaeza niita Huncho ma lock's!.... nafanya the most venye naroga bila uwoga utasema mii ni ghost juu bado kuni beff itaku cost mii hustand strong kama post na ndoo maana nikipotea kidogo kila mtu anauliza mbona nimelost!

1 Comments

Leave a comment

See track description

User avatar
3.25k
Total plays
169
Followers
59
Following

You may also like