BIAN--WALAI
Sema walai walai Speed ya SGR Kwa reli BMX baiskeli Sema walai walai Walinicheka aty siwezani wananicheki kwa teli Sema walai walai HBR daily Sipendangi kudiss but nigga u my son Nikipull up na mbogi we jua it's done Kama ni mboka biz tunarun Support ya Bian ni gwan Cheki Sahi Nai nawakilisha walai Hao sio marapper waambie byebye Nikikujanga solo nakuja kukill Trap na shrap rongrende na drill Sema walai walai Speed ya SGR Kwa reli BMX baiskeli Sema walai walai Walinicheka aty siwezani wananicheki kwa teli Sema walai walai HBR daily Wacha umbwaknei Wizzoh aliwambia mwache umbwaknei Kama ni concert bora nikanjwe mi sishukangi bei U need some content ka bado unasema mziki haipay Mbona unahate Bian on the mic modo man nay kay? Sema walai walai Speed ya SGR Kwa reli BMX baiskeli Sema walai walai Walinicheka aty siwezani wananicheki kwa teli Sema walai walai HBR daily Cheki apa,mi ndo kuzoza Zubaa,choma kiboza Zubaa,morioh utatokwa Mi ndo Biggie now u know Kuwa rada,chorea vako Kuwa mjanja,usikaze tako Mi hupitanga ady sistako Naweza kuvaa rudi kwa nyanyako Sema walai walai Speed ya SGR Kwa reli BMX baiskeli Sema walai walai Walinicheka aty siwezani wananicheki kwa teli Sema walai walai HBR daily Kama ni nganji mi naweza kusort I've stacking up alot Kama ni war my nigga we fought Bado kwa scene na madents they were caught Siwezi nikaflex aty ndo mnitii Rap next level washanitii Kama ni kladi luku nakill Soma label drip ni clean Sema walai walai Speed ya SGR Kwa reli BMX baiskeli Sema walai walai Walinicheka aty siwezani wananicheki kwa teli Sema walai walai HBR daily
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
Wow again you killed it . my mouth 👄 is wide open. Congratulations again 10 10 10 😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎 ⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐ awesome ❤️❤️🥰❤️❤️🥰❤️❤️