i go shoot you on the head like paaah.. project one

0:00
0:00
i go shoot you on the head like paaah.. project one

navokuja ntembea ni kama naondoka hili biti hii mistari ni kama ninafoka waliotaka nianguke ndo kwanza wanakoma we tulia mi nisepe ndo kwanza ninaanza hili goma ni kama genge ntakuua kifo cha mende ebu tulia acha usenge acha fimbo iende ni trap trap kila kona hadi tabu tabu wanaona na vipofu nao wanaona madem zao tunawachoma mi ni yule mshkaj anachukua demu wako huku unamuangalia seven miles 7m kila benki inanijua ukitaka kushindana nami for sure utagafua i go shoot you on the head with my outfits and my tomy gun smoke the weed everyday nigga ana puff puff smoke weed and get paid all talks ni money money huyu janja anachana kinoma so siri mi ni noma i stick my own flow kwenye hili goma naganga natamba kichizi . . . so bring more money here usilete stori kabisa hizo janja kimbia nataka stori za pesa

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

User avatar
11.5k
Total plays
321
Followers
158
Following

You may also like