nikikosa jana ntapata leo _ project one
nili kosa jana ntapata leo niki hustle leo ntapata kesho nakaza napiga kinyama na ngoma inavuma yaani ni baba lao walozani ni kwamba napotea kumbe ndo kwanza natokea mistari nikitunga ina nata na biti watani wanasema nimeotea and my trap game is real all the young rappers now they fear me wewe nuna na tena vimba na mi nkikuona nakubamba tu hili biti ninavolikaba nabaka utazani dem wa onr night tu nikikupiga usiende polisi ukienda polisi uta loose tu huu mziki, hii goma nateleza utazan nafoka sitaki tuzo za kisenge mimi fans nilionao wanatosha nilianza mdogo mdogo tangu nikiwa mtoto mdogo sasa i got the money kutimiza kila ndoto snichez walosema ntafail kwa sababu zao sasa with my outfit am their roll model i wear , i shine am a popstar am a trapstar sinywi nyagi nakunywa wine naenjoy jasho langu man walosema ni kwamba ntapotea kumbe ndo kwanza naotea hii mistar nikitunga ina nata kwa biti watani wanasema nmeotea nakula ganja everyday every time im a man the real niga spendi uongo
You may also like

Leave a comment
See track description ↑