Pali

0:00
0:00
Pali

Kama mastori yamesha kwisha wacha tulidi wee! Kama ni pali leo na mali wacha tukeshe wee! Kama mzuka ushanipanda wacha nimoke wee! Geto na manzi twapiga zanzi uogo ni zambi ee! mtungi twapiga usiku, mchana uongo, twapali na wana wa daily, kutwa kusema uongo, wahuni twakinukisha kwenye stage mbaka udongo, shule nishakimbia kusoma page, fimbo uongo, Nafany nachotak hatakam watachukia, Wazidi kunilahum me siwaachi wavutapp mikia, Wanene wenye mapene Bismillahi nawapitia, Madem wakishoboka me sishangai nawapitia,

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

User avatar
6
Total plays
35
Followers
89
Following

You may also like