HELLO

0:00
0:00
HELLO

Swatt swatt swatty boy ati walisema kuwa mm ni star boy lkini mm nikawaambia kuwa mm si star boy na pia wakasema kuwa mm napenda mademu sana ati walisema mm ni bashaa kwa sababu waliona kuwa mm nababaikiwa na mademu sana wakaona wivu sana na waliona kuwa sikosi demu yoyote na ilikuwa sina maneno na mtu yoyote lkini hivo hivo walikuwa wananibabaikia sana kwa sababu hawaezi kushindana na beingswatt chiii swatty boy hhhh na pia ilikuwa wakijifanishaa kuwa wao hawa wivu lkini kumbe roho zao mbaya sana na waliomba nipotee mtaani iliwabaki wao chiii wameshidwaa hhhh swatty boy

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

User avatar
8.03k
Total plays
326
Followers
15
Following

You may also like