chim.nata masnicth wengine

0:00
0:00
chim.nata masnicth wengine

fundi ni mimi ndomana demu wako akiniona anapenda niganda utakapo niona unakaza unajua nifaya ma beat makali naona mnapwaya masela ni wengi wanataka kubana mistari madini nawapa wakanda watoto na wao wanataka kuchana ma vitu makali yana kuja na faya. Malaya ni wengi wa napenda kudanga upendo wa kweli wa napenda kutana watoto nao ni wengi wana penda kuchana maana mistari ni mimi nawapa snitch demu wako nakaza na kamba ndo mimi nilikata nabado nikitaka napata watoto wengi nao skuizi staki dawa chim ndo mimi ni nomaa, snitch nazid wachoma, ngoma ndo hiyo nagonga, upendo wa Queen, napona watoto ni wengi mtakoma, wengi wanapenda kupona, vingi mtazidi kuona, chim nikija ni noma. napenda nipate vikwazo vingine ma snitch nai wantaka wengine wambea wazidi nipate wengine vimemo navyo napenda vingine ili nikija nipate mwingine maybe nitapata wajanja wengine maana mimi chim ni yule staki kundi napenda ni yule.....

3 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

nice homie Bars: Great 🎉 Delivery: Dope 🔥 Impression: Great 🎉

1
4 years ago

which language Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

1
User avatar
908
Total plays
113
Followers
75
Following

You may also like