haijalish 321

0:00
0:00
haijalish 321

changamka nayo bambika nayo sababika sababika nayo yoo yoo T.O si ni show ni fiti fiti show ka bora (ka) inaeka dema mezani inanilipia bima, inanibamba na mabeshte mataani, inanilipia keja nikipima kwa mizani inanijenga sihaijalishi Haijalishi pe imetoka yani bora kuomoka ya leo inaitajika, na ya kesho haitakuja ka sosa tegea ve itaitisha, ni wee kusababisha hakuna pyam itafanyika huweskosa, next na next tena ikibisha ni we kubadilisha, ju morges ni morges hiwes ngoja hii race progress tu hijaitosha kila scene situation ngori kila siku ni kasesion loading naamuka na ka morning glory nikiganga ya the day kisha nakula shower kladi sawa kus kus nukia sawa si one for the road rap easy feel fete jibambe ka spice ka mchuze jilambe ka imejipa na nainakupa katembe ka aluta kuwakuta wakanje na hiyo rada ya mavampire na kanga hii ndio life tunaishi sikuhizi haijalishi, hii ndio life inatukeep on toes inatukeep busy buda ka huwezi piga mbizi haijalishi ka inaeka dema mezani inanilipia bima, inanibamba na mabeshte mataani, inanilipia keja nikipima kwa mizani inanijenga sihaijalishi hapa haina easy ivi ivi ve ilunafeel ve unadream toka kwa usingizi inawatu tofauti kahuskizi wa kupitia bridge wengine ni lazima wapige mbizi kujiredeem si wengi walivuka wengine walishindwa kupress on depressed walichuja wa madre walidrawn hadi mtaani kwao walisahau pesa kidogo ushajipandisha bei buda achana nao haijalishi rap easy feel fete jibambe ka spice ka mchuze jilambe ka imejipa na nainakupa katembe ka aluta kuwakuta wakanje na hiyo rada ya mavampire na kanga

12 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

5 years ago

Here are my scores: Bars: 9/10 Delivery: 8/10 Impression: 5/10 Bars: Dope 🔥 Delivery: Great 🎉 Impression: Good 💛

Author
5 years ago

@walterford Big time Thanks much Bro , appreciated 👊👊

5 years ago

Here are my scores: Bars: 8/10 Delivery: 6/10 Impression: 9/10

1

come around I have a new song up

6 years ago

@t.otmvuvi Real stuff buda

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

6 months ago

Respect 🤜🤛 Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Great 🎉

5 years ago

Bars: Dope 🔥 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

banger

8 months ago

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

User avatar
515
Total plays
102
Followers
125
Following

You may also like