nawe2

0:00
0:00
nawe2

chorus nataka kuwa nawe nataka kuwa nawe nataka kuwa nawe nataka kuwa nawe×2 verse 1 nataka kuwa nawe mrembo nielewe nijibu usichelewe kwa chochote sema upewe nataka kuwa nawe every moment everyday kwako nimedata umenishika sina say nataka kuwa nawe nishike mkono nisipotee lako busu kimahaba nizibe mdomo nisiongee upe furaha moyo wangu mapenzi nichochee kubali niwe wako usinifanye nikusotee nataka kuwa nawe unanifanya nilegee kukupenda ka ni kosa basi mrembo nisamehe naahidi uvumilivu ukinipanga kwa tarehe sitochoka kusubiri uwe wangu wa pekee nataka kuwa nawe for the present for the future hatupandi daladala kwa emergency kuna uber moyoni nimejawa na mapenzi yenye huba natamani kuyagawa we ndo mpenzi wa kumpa chorus nataka kuwa nawe nataka kuwa nawe nataka kuwa nawe nataka kuwa nawe ×2 verse 2 nataka kuwa nawe ,on my side i never let a chance to meet you slide if am wrong show me how i can be right and if you are in the dark i can be the light you stay on my mind i dont want to fight it come to party into my house no invite vacation for a hike vacation for a bike enjoy photo shoot location where you like nataka kuwa nawe nikupende mpaka kifo i have been in a way na kwako ndipo kingo nataka kuwa nawe mapenzi sio illegal nataka kuwa nawe so usi-take kama simple nataka kuwa nawe nataka kuwa nawe ×2 bridge... chorus nataka kuwa nawe nataka kuwa nawe nataka kuwa nawe nataka kuwa nawe ×2

1 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

See track description

User avatar
1.6k
Total plays
105
Followers
97
Following

You may also like