Timeless (17:35)

0:00
0:00
Timeless (17:35)

mafisi wafisadi kifo kisimani wapigwe risasi hadharani mbele ya umati kasarani wali tengeneza Paliament Ikawa bez ziki shika wana doz zikiwalipukia punda wana overload motions vile ac zao Zita overdoz punda akona one old sandal na ndio ac zao zi overdoz lazima wakue na brand new scandals so punda akufe coz ya underdoz mafisi wafisadi kifo kisimani wapigwe risasi hadharani ×2 wana tuthuru kuliko saratani washindwe mapepo wataenda kwa shetani dirty popos wana 2mada hatharani wapelekwe mahakamani mpaka wafike gerezani thank you Mr Oreza ume kua shap kuliko reza maendeleo imefika mashinani vijana wako kazi mashambani this round tuna hustle hadharani badae ni hepi na burudani coz pia baba ako ndani cheki kenya 2ko na amani mafisi wafisadi kifo kisimani wapigwe risasi hadharani kasarani ×2 kazi mtaani imetoa vijan rahani siku izi mtaani kuna amani ikifika magizani Niki chana majani wanauliza rada ni gani atu vuti shada hadharani vijana tuliwacha mihadarati tuna fuata sheria na masharti mafisi wafisadi kifo kisimani wapigwe risasi hadharani kasarani×2

1 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

See track description

User avatar
2.58k
Total plays
241
Followers
241
Following

You may also like