swahili master

0:00
0:00
swahili master

life sio easy kila siku nimekua bizi staki shughuli za wizi tangu blessing ya watoi wawili life imeacha kua triky na hustle Kama chizy multi papos pia na Fanya mziki kwa stage nawrushia mikiki mkulima cheki napanda miti uta nipata koch nawashika mandizi ama tao uko jiji naile jeshi rude ya machizi Leo lazima Nita kiri chini ya maji tuna wapiga pinji hii game naicheza fiti sidai minji minji staki kuenda kamiti wana sema nimejenga mwili tangu hustle ikue baraka bigy makeki wanakam wawili tupac na waroga kama bigy thats why wanataka hii ndizi ndio wapate hii ganji naspend kila wikendi mwisho Wa wiki Niko na akina kiki napenda Wendy anajua zile style sipendi napenda akishika miti anipeleke kwa kiti ziki bamba nikwa kitanda kuchafua mashiti kwa stage na wamix kama blenda hawawezi ni dis kwa rap game nawa chenga siwezi wakis machura na walenga Niko biz nauza maji mtaa Mimi ni water venda nime miss yule x wangu Brenda kusema kweli nilikua nampenda kila siku ya kalenda nivile alianza chenga alini hat nakunitenda baada ya kunilenga jeshi ilimteka ikamkula kama meda kwanza alikua juu ya meza ndani ya keja walikua jicho nyanya denja kwanza benja aku hema hio siku alikua body benda

1 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

See track description

User avatar
2.58k
Total plays
241
Followers
241
Following

You may also like