montana

0:00
0:00
montana

issa mo vina vimewaka mistari imenona ile kinoma kila nikigusa waya kila nikiweka goli si tuko juu,,,juu kama kili maduu wanataka .. kua na mm shika mmoja piga denda,. kula debe tupa kula si tuna pesa, kama baharesa tuna kula bata,, maboya wanasanda life la mambele, bongo kama ulaya achana na mafala wanaleta ukolo piga ngumi, mwanga damu chinja kabisa isaya mazengo, anabonge la chongo amekaaa kwenye gogo, anakula muogo. kila nachofanya, wote wanaiga kila nachopata wote wanataka kila nachopika wote wanakula mimi ni nani mimi ni pita, pita mpitaji kila nikipita,. wauni wote wanasena piiitaaaa

1 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

See track description

User avatar
215
Total plays
53
Followers
44
Following

You may also like