Tei sare
nacheki dem yako ye huwa m ratchet nimekam leo kushikisha hi party... kwanza ju ya njeve wacha nivae jacket ju mi ni hot kid kwenye market vtu zinasonga ....they can't compete it kwa teo mi ndo huwa wana copy yeah copy ..photo copy ..basket ball nacheza kama kobi Talking trash na kwanza hawatoshi ABC Hao ni watoi .... Yo ni nanilifungiwa hao juzi na ilikuwa tu riba ya upuzi nilikata maji nikaanza matusi sio drama ni movie ahh jetli .. nilipigwa mateke w mpaka nikatoa vumbi.... kwani mi nani nilpita kwanza na moja walidhani kwanza ati nitangoja nilioomoka mbio hadi mse wa. nduthi .faster yo ..sitki ngumi more relax bro ntakupea doh.. naona kwanza wamebeba mawe nimechange teo nmesare . ....
You may also like

Leave a comment
See track description ↑