India_10-20

0:00
0:00
India_10-20

kukuzoea mpaka nikakupenda sana nikajiona hasi nawe nikakufanya chanya mapenz yako yaliweka kwenye giza sikujua unanipenda ama unaigiza yale ma(sham)2 yenye mahaba tele yale ma (tam)2 yenye chumv tele kujiona handsome kumbe napigwa ndele kupembuliwa na kubaguliwa Kama mchanga na mchele

1 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

See track description

User avatar
36
Total plays
18
Followers
8
Following

You may also like