ABM(All Bout Money)
chuma meota kutu tuioake rangi watu hawana utu it's all bout de money houseboy kaiba kuku kauza Kwa jirani nyumbani hamna luku ila buku mfukoni juzi ASHA katongwa na john haraka haraka wamemeet magetoni naujue kwenye money no delay they say life so challenging na pesa mewabadilisha wengi hata mahaters mliokuwa hamnioendi skuizi daily tunakesha tunasoendi ukiwa na esa marafiki zikiisha watakimbia Kwa speed first chorus .....Now you know it's all about the money there is no love all bout de money hatuoo analog Tu po digital I money money Hadi kanisani pesa meleta shida Kwa waumini hawaamini tena wao wachungaji VERSE2 masela zako wa zamani unawakana waliokutia moyo usiogoe we kazana sometimes huna kitu walikutoa buku kukuoenda kukuheshimu ujione MTU ila kama umewatemea sumu mi sio kwamba kama ulaumu ila ni ushamba kuiweka money juu. yes money ni muhimu no si muhimu zaidi ya Mungu .. also sio zaidi ya utuu.
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
@Viber_hummie
@Viber_hummie