2019 heat
0:00
0:00
Nikishika mic na ryhme namake sense Niko na mistari kali excess Ninapiga works vi hard nipAte pay Kila show mi nalipwa tu na dollar Kila dem mi napata mi na holla Kila bash si tukifika tuna ngora Kila sato sunday bet tu mi naweka Niko juu ya masses utadhani mi kasisi Niko juu ya cash utadhani mi kirubi Hits zangu mob utadhani mi avicii Kila holiday utanipata na hamisi costo , nikiwa nimechill kwenye beachi Kanapenda miti na mimi ni kifisi Ananiita king juu nilimbuyia kamisi Ukinidiss utajua ni mazishi Walianza kitambo na bado hawaniwezi Ninatesa jiji kijiji mi napendwa Kama sio gg hio itamezwa Nikispit naleta feelings hadi kwenye meza Tembeza ama nikuwe kwa jeneza
You may also like

Leave a comment
See track description ↑